• No products in the basket.

About

Maktaba.ac.tz ni mtandao mahusi Afrika Mashariki maalumu kwajili ya kuwawezesha wadau mbalimbali kuweza kujiajiri mtandaoni na kujijengea kipato huku pia wakileta mapinduzi ya maana na maendeleo katika maisha ya wengine kwanjia ya kufundisha, bidhaa za kidijitali n.k.

Lengo letu ni kukuwezesha kujenga kipato chako cha uhakika mtandaoni kwa kufundisha, kuuza bidhaa, kufanya kazi za watu, kutangaza matangazo ya watu kwa commission njia nyingine zitakazoongezeka. Tunakuwezesha haya kwa njia ya mtandao wenye kuleta urahisi na ufanisi katika kutekeleza haya.

    • Je, Simu na kompyuta yako vinakusaidia namna gani katika kujenga kipato chako?
    • Umejiandaa namna gani na mapinduzi ya kidijitari ya uchumi?
    • Mitandao yako ya kijamii inakusaidia namna gani kujenga kiuchumi?
  • Je, Vinakupunguzia kipato chako au kukuongezea?

Maktaba.ac.tz inakuwezesha kutumia fursa mbalimbali za kimtandao na kidijitari kuweza kunufaika kiuchumi na pia kukuwezesha kusababisha mabadiliko ya maana katika jamii yako kupitia nguvu ya akili yako!

Akili ni Mali !

Net Team Tz,
Salasala, Tegeta,
Dar es Salaam, Tanzania,
+255 783 922 746.
netteam@net.co.tz

© Maktaba. All rights reserved.