Wanafunzi 10 Bora Matokeo Darasa la Saba 2021

This is a Trial Version of Social Share & Locker Pro plugin. Please add your purchase code into Licence section to enable the Full Social Share & Locker Pro Version.

Wanafunzi 10 Bora Matokeo Darasa la Saba 2021

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2021 ambapo mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule limemtangaza ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.

Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema watahiniwa bora kitaifa ni wale ambao wamepata alama nyingi zaidi kuliko wenzao kwenye masomo sita waliyotahiniwa.

Amemtaja aliyeshika nafasi ya pili kuwa ni Happy Joseph Deus kutoka shule ya msingi Twibhoki ya Mkoa wa Mara na nafasi ya tatu ikienda kwa John Chacha Charles kutoka Twibhoki.

Aliyeshika nafasi ya nne ni Joshua Mahende Jacob kutoka shule ya msingi Twibhoki iliyopo Mara pia, Eva Sebastian Chengula kutoka shule ya msingi Fountain of Joy ya Dar es Salaam ameshika nafasi ya tano, Joctan Samwel Matara kutoka Twibhoki ameshika nafasi ya sita.

Barnaba Jumanne Magoto kutoka shule ya msingi Twibhoki ipo Mara ameshika nafasi ya saba, Rahma Ombi Juma kutoka shule ya Mtuki Highland iliyopo Dar es Salaam ameshika nafasi ya nane na nafasi ya tisa ni Juliana John Shimbala kutoka St Joseph’s nafasi ya kumi ameishika Jackline Manfredy kutoka shule ya Masaka iliyopo Dar es Salaam.

Primary School: NO
Primary School Year: 2013
Ordinary School: 2017
Ordinary School Year: 22
Ordinary School Division: NO
High School: NO
High School Year: 22
High School Division: NO
University Name: NO
University Year: 2021
University GPA: NO
University Course: NO
Current Job: NO
Current Company: NO
Associate Gender: Female
Associate Advice on Studies: NO
Associate Advice on Career: NO

Related Articles

Wanafunzi 10 Bora Matokeo Darasa la Saba 2021
TECH INSIGHT WITH ELIAS RANGE
NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba, Tazama Hapa
WOMEN IN ENGINEERING
ONE ON ONE:JINSI NILIVYOFAULU MITIHANI KUPITIA MAKTABA

Recently Viewed

More articles will be added latter

0 responses on "Wanafunzi 10 Bora Matokeo Darasa la Saba 2021"

Leave a Message

Your email address will not be published.

© Maktaba. All rights reserved.