NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba, Tazama Hapa

This is a Trial Version of Social Share & Locker Pro plugin. Please add your purchase code into Licence section to enable the Full Social Share & Locker Pro Version.

NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba, Tazama Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Jumamosi, Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2021 (Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2021 ambapo watahiniwa 907,820 kati ya milioni 1.2 waliofanya mtihani huo wamefaulu sawa na asilimia 81.9.

Akitangaza matokeo hayo Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde, amesema kuwa mkoa wa Dar es Salaam umefanya vizuri zaidi katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2021, ikifuatiwa na Iringa na Mbeya.
Msonde amemtaja mtahiniwa Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye mwanafunzi aliyepata alama nyingi zaidi kuliko wenzake.

Kutazama Matokeo Darasa la Saba 2021 <>

31/10/2021

0 responses on "NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba, Tazama Hapa"

Leave a Message

Your email address will not be published. Required fields are marked *

© Maktaba. All rights reserved.