• No products in the basket.

HOPE MWAIBANJE

SIMULIZI YA MAFANIKIO YA HOPE – MWANAFUNZI BORA KITAIFA 2018

Katika kuhakikisha mafanikio ya kielimu kwa kila mwanafunzi, Maktaba tunataka kuleta tumaini kwako kwa kukuleta simulizi za watu mbalimbali waliofanikiwa pamoja na changamoto zote walizozipitia. Tunatumaini simulizi zao zitakupa moyo na kukuhamsisha ufanikiwe katika maisha.

Leo kutana na simulizi ya kusisimua na kutia moyo ya Kijana, Hope Cosmas Mwaibanje. Mwanafunzi bora kitaifa katika matokeo ya kidato cha Nne mwaka 2018 kutoka shule ya Sekondari ya Ilboru iliyopo Arusha. Katika simulizi hii, Hope ambaye ni mzaliwa wa Mbeya. ameelezea kwa kina Changamoto alizokutana nazo kipindi cha masomo namna alivyozikabili hadi akawa mwanafunzi wa kwanza kitaifa. Na anatoa ushauri kwa wanafunzi wengine wa jinsi ya kufanikiwa kimasomo.

Read More

Profile PhotoDada Maktaba18/01/2021
© Maktaba. All rights reserved.